17 Mungu wa watu hawa Israeli aliwachagua mababu zetu, akawainua watu hao walipokuwa wakiishi wakiwa wageni katika nchi ya Misri na kuwatoa huko kwa mkono ulioinuliwa.+
17 Mungu wa watu hawa Israeli aliwachagua mababu zetu, naye akawainua watu hao walipokuwa wakikaa katika nchi ya kigeni katika nchi ya Misri na kuwatoa katika hiyo kwa mkono ulioinuliwa.+