-
Matendo 13:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Mungu wa watu hawa Israeli aliwachagua baba zetu wa zamani, naye akawakweza watu wakati wa ukaaji wao wa nchi ya kigeni katika nchi ya Misri na kuwatoa katika hiyo kwa mkono ulioinuliwa.
-