15 Kutoka huko, akina ndugu waliposikia habari zetu, wakaja mpaka Soko la Apio na Mikahawa Mitatu ili kutupokea. Paulo alipowaona, akamshukuru Mungu na kujipa moyo.+
15 Na kutoka huko akina ndugu, waliposikia habari juu yetu, wakaja kukutana nasi mpaka Soko la Apio na Mikahawa Mitatu na, alipowaona, Paulo akamshukuru Mungu na kujipa moyo.+