-
Matendo 28:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Na kutoka huko akina ndugu, waliposikia habari juu yetu, wakaja kukutana nasi hadi Mahali pa Sokoni Apio na Mikahawa Mitatu na, alipowaona mara hiyo, Paulo akamshukuru Mungu na kujipa moyo.
-