-
Ufunuo 21:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Pia, yale malango 12 yalikuwa lulu 12; kila lango lilitengenezwa kwa lulu moja. Na barabara kuu ya jiji ilikuwa dhahabu safi, kama kioo kiangavu.
-