-
Ufunuo 21:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Pia, yale malango 12 yalikuwa lulu 12; kila lango lilitengenezwa kwa lulu moja. Na barabara kuu ya jiji ilikuwa dhahabu safi, kama kioo kiangavu.
-
-
Ufunuo 21:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Pia, malango kumi na mawili yalikuwa lulu kumi na mbili; kila moja la malango lilikuwa limefanywa kwa lulu moja. Na njia pana ya jiji ilikuwa dhahabu yenye kutakata, kama kioo chenye kuona.
-