Isaya 6:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Ufanye moyo wa watu hawa uwe mgumu,+Yafanye masikio yao yawe mazito,+Na uyafunge kabisa macho yao,Ili wasione kwa macho yaoNa wasisikie kwa masikio yao,Ili moyo wao usieleweNao wasigeuke na kuponywa.” Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 6:10 ip-1 95-96, 99-100 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 6:10 Yesu—Njia, uku. 242 Unabii wa Isaya 1, kur. 95-96, 99-100 Mnara wa Mlinzi,12/1/1989, uku. 87/15/1988, uku. 1210/15/1987, kur. 17-194/1/1987, uku. 8
10 Ufanye moyo wa watu hawa uwe mgumu,+Yafanye masikio yao yawe mazito,+Na uyafunge kabisa macho yao,Ili wasione kwa macho yaoNa wasisikie kwa masikio yao,Ili moyo wao usieleweNao wasigeuke na kuponywa.”
6:10 Yesu—Njia, uku. 242 Unabii wa Isaya 1, kur. 95-96, 99-100 Mnara wa Mlinzi,12/1/1989, uku. 87/15/1988, uku. 1210/15/1987, kur. 17-194/1/1987, uku. 8