Isaya 29:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Kwa maana anapowaona watoto wake,Ambao ni kazi ya mikono yake, katikati yake,+Watalitakasa jina langu;Naam, watamtakasa Mtakatifu wa Yakobo,Nao watamwogopa Mungu wa Israeli.+
23 Kwa maana anapowaona watoto wake,Ambao ni kazi ya mikono yake, katikati yake,+Watalitakasa jina langu;Naam, watamtakasa Mtakatifu wa Yakobo,Nao watamwogopa Mungu wa Israeli.+