-
Isaya 62:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Lakini utaitwa Furaha Yangu Imo Ndani Yake,+
Na nchi yako itaitwa Aliyeolewa.
Kwa maana Yehova atafurahishwa nawe,
Na nchi yako itakuwa kama aliyeolewa.
-