Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 40:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Hata kabla Yeremia hajageuka kuondoka, Nebuzaradani akamwambia: “Rudi kwa Gedalia+ mwana wa Ahikamu+ mwana wa Shafani,+ ambaye mfalme wa Babiloni amemweka juu ya majiji ya Yuda, nawe ukae pamoja naye miongoni mwa watu; au uende popote unapotaka.”

      Ndipo mkuu wa walinzi akampa posho ya chakula na zawadi, akamruhusu aende zake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki