-
Mathayo 3:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Alipoona mara hiyo wengi wa Mafarisayo na Masadukayo wakija kwenye ubatizo, akawaambia: “Nyinyi uzao wa nyoka-vipiri, ni nani ambaye amewadokezea nyinyi kuikimbia hasira ya kisasi inayokuja?
-