-
Mathayo 6:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 “Pia, wakati msalipo, lazima msiwe kama wanafiki; kwa sababu wao hupendezwa na kusali wakisimama katika masinagogi na kwenye pembe za njia pana waonekane na watu. Kwa kweli nawaambia nyinyi, Wanapata thawabu yao kwa ukamili.
-