-
Mathayo 9:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Na, tazama! walikuwa wakimletea mtu aliyepooza akiwa amelala juu ya kitanda. Alipoona imani yao Yesu akamwambia mwenye kupooza: “Jipe moyo, mtoto; dhambi zako zimesamehewa.”
-