-
Mathayo 9:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Hakuna mtu ashonaye juu ya vazi la nje kuukuu, kiraka cha nguo ambayo haijaruka; kwa maana nguvu yayo kamili ingevuta kutoka kwenye lile vazi la nje na mraruko ungekuwa mbaya zaidi.
-