-
Mathayo 13:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Watu walipokuwa wamelala usingizi, adui yake akaja na kupanda magugu kati ya ngano kisha akaondoka.
-
-
Mathayo 13:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Watu wakiwa wamelala usingizi, adui yake alikuja na kupandilia magugu katikati ya ngano, naye akaondoka.
-