-
Mathayo 17:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Hata hivyo, mimi nawaambia nyinyi kwamba tayari Eliya amekuja nao hawakumtambua bali walimfanya mambo waliyotaka. Katika njia hiyo pia Mwana wa binadamu akusudiwa kuteseka mikononi mwao.”
-