-
Mathayo 18:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 “Nyinyi mwafikiri nini? Ikiwa mtu fulani aja kuwa na kondoo mia moja na mmoja wao apotea njia, je, hataacha wale tisini na tisa juu ya milima na kuondoka kwenda kutafuta yule anayepotea njia?
-