-
Mathayo 20:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Akawaambia: “Kwa kweli mtakunywa kikombe changu, lakini huku kuketi kwenye mkono wangu wa kuume na kwenye mkono wangu wa kushoto si kwangu mimi kutoa, bali ni kwa wale ambao kwa ajili yao kumetayarishwa na Baba yangu.”
-