-
Mathayo 21:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 “Sikieni kielezi kingine: Kulikuwa na mtu, mwenye nyumba, aliyepanda shamba la mizabibu na kuweka ua kulizunguka naye akachimba sindikio la divai katika hilo akasimamisha mnara, na kulikodisha kwa walimaji, na kusafiri nchi ya nje.
-