-
Mathayo 23:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 “Ole wenu nyinyi, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa sababu nyinyi husafisha upande wa nje wa kikombe na wa sahani, lakini upande wa ndani vimejaa vitu vilivyoporwa na upitaji-kiasi.
-