-
Mathayo 28:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Nanyi nendeni upesi na waambieni wanafunzi wake kwamba alifufuliwa kutoka kwa wafu, na, tazameni! anawatangulia kuingia Galilaya; huko mtamwona yeye. Tazameni! Nimewaambia nyinyi.”
-