-
Marko 1:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Na mapema asubuhi, kulipokuwa bado kuna giza, akaondoka akatoka nje akaenda mahali pa upweke, na huko akaanza kusali.
-