-
Marko 3:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Na baada ya kuwatazama huku na huku kwa ghadhabu, akiwa ametiwa kihoro kabisa kwa ukosefu-hisia wa mioyo yao, akamwambia huyo mtu: “Nyoosha mkono wako.” Naye akaunyoosha, na mkono wake ukaponywa.
-