-
Marko 9:50Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
50 Chumvi ni bora; lakini ikitukia wakati wowote kwamba chumvi yapoteza nguvu yayo, nyinyi mtakoleza hiyo yenyewe na nini? Iweni na chumvi ndani yenu wenyewe, na dumisheni amani nyinyi kwa nyinyi.”
-