-
Marko 10:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Kwa kuona hili Yesu akaghadhibika na kuwaambia: “Waacheni watoto wachanga waje kwangu; msijaribu kuwakomesha, kwa maana ufalme wa Mungu ni wa walio kama hao.
-