-
Marko 10:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Yesu akamtazama akahisi upendo kwa ajili yake na kumwambia: “Jambo moja limekosekana kwako: Nenda, uuze vitu ulivyo navyo uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni, na uje uwe mfuasi wangu.”
-