-
Marko 13:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 “Kwa habari yenu, jihadharini nyinyi wenyewe; watu watawakabidhi nyinyi kwenye mahakama za mahali, nanyi mtapigwa katika masinagogi na kufanywa msimame mbele ya magavana na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushahidi kwao.
-