-
Luka 4:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 na Ibilisi akamwambia: “Hakika nitakupa mamlaka yote hii na utukufu wazo, kwa sababu nimekabidhiwa hiyo, na yeyote nimtakaye mimi humpa hiyo.
-