-
Luka 4:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Baada ya kuinuka kutoka katika sinagogi akaingia katika nyumba ya Simoni. Basi mama-mkwe wa Simoni alikuwa akitaabishwa na homa kali, nao wakamwomba Yesu kwa ajili yake.
-