-
Luka 5:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Zaidi, akaendelea kuwapa kielezi: “Hakuna akataye kiraka kutoka vazi jipya la nje na kukishonelea vazi kuukuu la nje; lakini akifanya hivyo, ndipo kiraka kipya huraruka kikajiondoa na pia kiraka kutoka katika vazi jipya hakilingani na lile kuukuu.
-