-
Luka 6:49Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
49 Kwa upande ule mwingine, yeye asikiaye na hafanyi, ni kama mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi bila msingi. Mto uliipiga kwa nguvu, na mara ikaporomoka, na uharibifu wa nyumba hiyo ukawa mkubwa.”
-