-
Luka 8:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Lakini walipokuwa wakisafiri kwa mashua yeye akalala usingizi. Sasa dhoruba ya upepo wenye nguvu nyingi ikashuka juu ya ziwa, nao wakaanza kujawa na maji na kuwa katika hatari.
-