-
Luka 9:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Ndipo akaendelea kuwaambia wote: “Ikiwa yeyote ataka kunifuata, na ajikane mwenyewe na kuchukua mti wake wa mateso siku baada ya siku na kunifuata kwa kuendelea.
-