-
Luka 13:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Tazameni! Nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa. Nawaambia, Nyinyi hamtaniona kwa vyovyote mpaka msemapo, ‘Mbarikiwa ni yeye ajaye katika jina la Yehova!’”
-