-
Luka 14:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Basi yule mtumwa akarudi na kumwambia bwana wake mambo hayo. Kisha yule bwana wa nyumba akakasirika na kumwambia mtumwa wake, ‘Nenda upesi kwenye barabara kuu na vichochoro vya jiji, uwalete maskini, viwete, vipofu, na vilema.’
-
-
Luka 14:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Kwa hiyo yule mtumwa akaja akaripoti mambo haya kwa bwana-mkubwa wake. Ndipo mwenye nyumba akawa na hasira ya kisasi na kumwambia mtumwa wake, ‘Toka uende upesi uingie katika zile njia pana na barabara ndogo za jiji, uwaingize humu maskini na viwete na vipofu na vilema.’
-