-
Luka 15:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Ndipo yule mwana akamwambia, ‘Baba, nimefanya dhambi dhidi ya mbingu na dhidi yako. Sistahili tena kuitwa mwana wako. Unifanye niwe kama mmoja wa wanaume wako walioajiriwa.’
-