-
Luka 20:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Lakini katika majira yapasayo akatuma mtumwa kwa walimaji, ili wapate kumpa baadhi ya matunda ya shamba la mizabibu. Hata hivyo, hao walimaji wakamwacha aende bila kitu, baada ya kumpiga sana.
-