-
Luka 22:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Ingawa hivyo, nyinyi hampaswi kuwa hivyo. Lakini acheni yeye aliye mkubwa zaidi ya wote miongoni mwenu awe kama aliye mchanga zaidi ya wote, na yule anayetenda kama mkuu kama yule anayehudumu.
-