-
Yohana 19:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Yesu akamjibu: “Wewe hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa kutoka juu. Ndiyo maana mtu aliyenitia mikononi mwako ana dhambi kubwa zaidi.”
-
-
Yohana 19:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Yesu akamjibu: “Wewe hungekuwa na mamlaka hata kidogo dhidi yangu isipokuwa uwe ulikuwa umepewa hiyo kutoka juu. Hii ndiyo sababu mtu aliyenikabidhi kwako ana dhambi kubwa zaidi.”
-