-
Yohana 19:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Yesu akamjibu: “Wewe hungekuwa na mamlaka hata kidogo dhidi yangu isipokuwa uwe ulikuwa umepewa hiyo kutoka juu. Hii ndiyo sababu mtu aliyenikabidhi kwako ana dhambi kubwa zaidi.”
-