-
Matendo 8:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Ndipo yeye akainuka akaenda, na, tazama! towashi Mwethiopia, mwanamume aliye na mamlaka chini ya Kandake malkia wa Waethiopia, na ambaye alikuwa juu ya hazina yote ya malkia. Yeye alikuwa ameenda Yerusalemu kuabudu,
-