-
Matendo 9:40Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
40 Lakini Petro akaondoa kila mtu aende nje na, akikunja magoti yake, akasali, na, akigeukia ule mwili, akasema: “Tabitha, inuka!” Akafungua macho yake na, alipomwona mara hiyo Petro, akaketi wima.
-