-
Matendo 13:46Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
46 Na kwa hiyo, wakiongea kwa ujasiri, Paulo na Barnaba wakasema: “Ilikuwa lazima neno la Mungu lisemwe kwanza kwenu. Kwa kuwa mnalisukuma mbali kutoka kwenu na hamjihukumu wenyewe kuwa mwastahili uhai udumuo milele, tazameni! twawageukia mataifa.
-