-
Matendo 13:50Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
50 Lakini Wayahudi wakachochea wanawake wenye kusifika walioabudu Mungu na watu walio wakubwa wa jiji, nao wakainusha mnyanyaso dhidi ya Paulo na Barnaba na kuwatupa nje ya mipaka yao.
-