-
Matendo 15:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Basi bishano kubwa lilipokuwa limetukia, Petro aliinuka na kuwaambia: “Wanaume, akina ndugu, nyinyi mwajua vema kwamba tangu siku za mapema Mungu alifanya uchaguzi miongoni mwenu kwamba kupitia kinywa changu watu wa mataifa wasikie neno la habari njema na kuamini;
-