-
Matendo 21:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 naye akatujia na kuuchukua mshipi wa Paulo, akafunga miguu na mikono yake mwenyewe na kusema: “Hivi ndivyo isemavyo roho takatifu, ‘Mwanamume ambaye mshipi huu ni wake Wayahudi watamfunga kwa namna hii katika Yerusalemu na kumkabidhi mikononi mwa watu wa mataifa.’”
-