-
Waroma 8:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Zaidi ya hayo, wale aliowaagiza kimbele ndio wale aliowaita pia; na wale aliowaita ndio wale aliowatangaza kuwa waadilifu pia. Mwishowe wale aliowatangaza kuwa waadilifu ndio wale aliowatukuza pia.
-