-
Waroma 13:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Fanyeni hili, pia, kwa sababu nyinyi watu mwayajua majira, kwamba tayari ni saa ya nyinyi kuamka kutoka katika usingizi, kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu zaidi kuliko tulipopata kuwa waamini.
-