-
1 Wakorintho 5:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Lakini sasa ninawaandikia nyinyi mkome kuchangamana katika ushirika pamoja na yeyote aitwaye ndugu ambaye ni mwasherati au mtu mwenye pupa au mwabudu-sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang’anyi, wala hata kula pamoja na mtu wa namna hiyo.
-