-
Wagalatia 3:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Basi, kwa nini Sheria? Iliongezwa kufanya mikiuko-sheria iwe dhahiri, mpaka mbegu iwasili ambayo kwayo ahadi ilikuwa imetolewa; na ilipitishwa kupitia kwao malaika kwa mkono wa mpatanishi.
-